Roy apigwa – Huba |S9 | Ep 50-54 | Maisha Magic Bongo

Описание к видео Roy apigwa – Huba |S9 | Ep 50-54 | Maisha Magic Bongo

Sada aamuka akiwa anajihisi vibaya na amdai Fabrizo kurudi nyumbani. Roy arudi nyumbani na uso uliobimba na Doris anataka kujua ni nini kilichotokea. Devi aendelea kuwa na maswali kuhusu Kibibi na Sada ataka kumfukuza Nandy tena.
---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Official Website: https://bit.ly/3lXtAFc
Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax:
https://bit.ly/2KnGqyv
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz

Instagram:   / maishamagicbongo  
Twitter:  / maishamagictz  
Facebook:   / maishamagicbongo  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке