Madee: Nilitishiwa kuchinjwa sababu ya 'Hip Hop Haiuzi', Mama alilia nilivyomuonesha nyumba yangu

Описание к видео Madee: Nilitishiwa kuchinjwa sababu ya 'Hip Hop Haiuzi', Mama alilia nilivyomuonesha nyumba yangu

Madee anasimulia sababu iliyomfanya aandike wimbo wake uliosababisha utata mkubwa ‘Hip Hop Haiuzi.’ Anaeleza jinsi wimbo huo ulivyompa wakati mgumu kiasi cha kutishishwa kuuawa na kupigwa marufuku asiende Arusha na Mbeya.

Pia anakumbushia wimbo wake ‘Pombe Yangu’ ulivyopatikana na kuja kumpa mafanikio makubwa.

#ChillnaSky

Комментарии

Информация по комментариям в разработке