RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA JUKWAA LA NISHATI NORWAY

Описание к видео RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA JUKWAA LA NISHATI NORWAY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amehutubia na kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Nishati la Oslo Norway, lililofanyika katika ukumbi wa NHO (Scandic Holmenkollen Park) akiwa katika siku ya pili ya ziara yake ya siku mbili nchini Norway 14 Februari, 2024.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке