Mshukiwa Collins Khalisia amedai kuwauwa watu 42

Описание к видео Mshukiwa Collins Khalisia amedai kuwauwa watu 42

Maafisa wa polisi wanamzuilia mshukiwa mmoja wa mauaji katika timbo la kwake eneo la Pipeline hapa Nairobi. Mshukiwa Collins Khalisia amekiri kuhusika na mauaji ya watu 42 akiwaeleza maafisa wa usalama namna alivyowauawa walengwa wake wa kike

Комментарии

Информация по комментариям в разработке