KONGAMANO MAALUM || USIMUACHE MCHAWI AENDELEE NA UCHAWI WAKE

Описание к видео KONGAMANO MAALUM || USIMUACHE MCHAWI AENDELEE NA UCHAWI WAKE

BWANA YESU asifiwe,tunamshukuru sana MUNGU kwa kutupa nafasi ya kuwa na kongamano siku ya leo. Karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika KONGAMANO LA NENO, MAOMBI NA MAOMBEZI linalokujia leo siku ya Jumapili tarehe 15 Desemba 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.

Kongamano hili maalum lina maudhui ya "USIMUACHE MCHAWI AENDELEE NA UCHAWI WAKE" na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке