BILA HURUMA! MREMBO ACHANWA Kwa VIWEMBE Kisa UGOMVI wa MAPENZI ya RAFIKI Yake

Описание к видео BILA HURUMA! MREMBO ACHANWA Kwa VIWEMBE Kisa UGOMVI wa MAPENZI ya RAFIKI Yake

BILA HURUMA! MREMBO ACHANWA Kwa VIWEMBE Kisa UGOMVI wa MAPENZI ya RAFIKI Yake

Binti Angel Peter ameendelea kuuguza makovu aliyoyapata baada ya kuchanwa na viwembe na wasichana ambao walikuwa wamelenga kumfanyia tukio hilo rafiki wa Angel kwa kile kinachodaiwa kuwa alikuwa akitembea na mwanaume wa mtu..

Makovu hayo yamevamiwa na bakteria ambao wamefanya yavimbe na kwa mujibu wa daktari huenda baadae akapata kansa na hivyo anaomba msaada ili aaweze kufanyiwa upasuaji wa makovu hayo..

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Комментарии

Информация по комментариям в разработке