Voi B ndio mabingwa wa mchuano wa Dola super cup, Taita Taveta

Описание к видео Voi B ndio mabingwa wa mchuano wa Dola super cup, Taita Taveta

Timu ya voi b ndio mabigwa wa mchuano wa dola super cup kaunti ya taita taveta baada ya kuilaza voi a bao 1-0 kwenye fainali ya kukata na shoka iliyochezwa uwanjani moi mjini voi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке