THE CLASSIC SAIGON: MIAKA 32 YA NDANI YA GAME/MIAKA YA GIZA YA RAP KABLA YA BONGOFLEVA/KUZALIWA DPT

Описание к видео THE CLASSIC SAIGON: MIAKA 32 YA NDANI YA GAME/MIAKA YA GIZA YA RAP KABLA YA BONGOFLEVA/KUZALIWA DPT

Saigon ni mwamba kabisa wa Hiphop Tanzania amekua kwenye game kwa miaka 32 sasa na amefanya mengi kukuza Hiphop Tanzania ikwemo kufanya kazi kwenye vyombo vya habari na kusaidia ukuaji wa wasanii wengi sana,amefika kupiga nasi stories muhimu za maisha yake

Комментарии

Информация по комментариям в разработке