IGISIRIMBA (UWEMA, HERI ) - TARAMANA NA INJILI BORA CHOIR (SESSION 8)

Описание к видео IGISIRIMBA (UWEMA, HERI ) - TARAMANA NA INJILI BORA CHOIR (SESSION 8)

Follow Injili Bora Choir
Instagram: //www.instagram.com/injiliborachoir/
Facebook:   / injilibora  

Wifuza gushyigira umurimo w'Imana dukora :
Bank of Kigali: 00094-07726399-09 Injili Bora Choir
WorldRemit & Momo : +250782732909


#Injili_Bora_choir
#IGISIRIMBA

Connect with us:
Call & Whatsap: +250782732909
Whatsap Group : https://chat.whatsapp.com/EO8NYTfAz0h...

Lyrics

UWEMA:
Uwema wako Bwana,
Neema yako Bwana,
Nitatangaza Makuu yaku,

Nafsi yangu, umhimidi Mungu Mtakatifu uuh

Mtakatifu, Mtakatifu, Uinuliwe
Mtakatifu, Mtakatifu, Upewe Sifa
.....


HERI:
Heri walio maskini wa roho;
Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika.
Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.

Wapandao kwa machozi,
Watavuna kwa kelele za furaha

Heri wenye moyo safi, maana hao watamwona Mungu
Eeh Bwana sikia Ombi lango
Uwatendee mema walio wema, Nao walio wanyofu wa moyo

Wapandao kwa machozi,
Watavuna kwa kelele za furaha

Time stamps
00:00 Uwema
05:00 Heri
10:06 Igisirimba
17:00 Ishimwe
19:47 Turavuga Ishimwe ryawe

Комментарии

Информация по комментариям в разработке