Vazi la kitamaduni la jamii ya Wamang'ati Tanzania

Описание к видео Vazi la kitamaduni la jamii ya Wamang'ati Tanzania

Vazi lao la kiasili ni utamaduni wanaojivunia. Jamii hii ya Wamang'ati nchini Tanzania wameendelea kuukuza utamaduni huo licha ya changamoto za usasa, unaotishia utamaduni huo. Veronica Natalis na mengi zaidi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке