MAZIKO ya DEREVA wa TIXON NZUNDA WALIOFARIKI WOTE AJALINI - RC NURDIN BABU ATOA NENO...

Описание к видео MAZIKO ya DEREVA wa TIXON NZUNDA WALIOFARIKI WOTE AJALINI - RC NURDIN BABU ATOA NENO...

MAZIKO ya DEREVA wa TIXON NZUNDA WALIOFARIKI WOTE AJALINI - RC NURDIN BABU ATOA NENO...


Mwili wa marehemu Alphonce James ambae aliekua dereva wa Katibu Tawala mkoani Kilimanjaro hatimae umezikwa hivi leo kijiji cha Kahe Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

Alphone James pamoja na aliekuwa katibu tawala mkao wa Kilimanjaro Dr.Tixon Nzunda walifariki katika ajali ya gari iliotokea Juni 18/06/ 2024 katika eneo la Kia Mkoani Kilimanjaro.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu ametumia hadhara hiyo kuwaasasa watanzania kudumisha amani na mshikamamno uliopo nchini.


Jishindie Zawadi na Global TV

Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7



============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке