Watakukataa Kwa Muda Tu, lakini watakutafuta wenyewe ili uwasaidie

Описание к видео Watakukataa Kwa Muda Tu, lakini watakutafuta wenyewe ili uwasaidie

WATAKUKATAA KWA MUDA TU, LAKINI WATAKUJA KUOMBA UWASAIDIE.

Neno la Mungu linatuambia kuwa, tangu enzi za Yohana mbatizaji hadi sasa, ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu.

Haijalishi wamekupangia mangapi, wanakunenea mangapi au wamekukataa, wewe simama tu imara wala usiogope kwasababu wale wale waliokukimbia leo, kesho watarudi kukuomba uwasaidie.

Pokea neema ya ukuu katika maisha yako kwa jina la YESU.
_____________________
Ili uwe wa kwanza kupokea taarifa zetu pindi tunapochapisha tafadhali (Like, Follow, Share, Comment na Subscribe) kwenye chaneli yetu ya Eden TV Online.
________________________
Kwa mawasiliano na jinsi ya kufika kanisani, tupigie kupitia namba +255743758507.
Mungu akubariki.
@everyone
@TopFans

Комментарии

Информация по комментариям в разработке