Wapita njia na wafanyibiashara wabugia pombe kwenye barabara ya Waiyaki, Westlands

Описание к видео Wapita njia na wafanyibiashara wabugia pombe kwenye barabara ya Waiyaki, Westlands

Msongamano wa magari na shughuli nyingi zilishuhudiwa katika eneo la Westlands hapa Nairobi baada ya lori lililokuwa limebeba pombe kuanguka. Wapita njia na wafanyibiashara wakijishindia vileo vya bure na wengine wakibugia bila kujali. Andrew okero ametuandalia taswira kamili kuhusu kisa hiki kilicholazimu muingilio wa polisi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке