THE CLASSIC DAZ BABA: KUPANDA NA KUSHUKA / DAZ NUNDAZ KUNA BEEF/ NAHITAJI WIFE/ UMBO NAMBA NANE

Описание к видео THE CLASSIC DAZ BABA: KUPANDA NA KUSHUKA / DAZ NUNDAZ KUNA BEEF/ NAHITAJI WIFE/ UMBO NAMBA NANE

Daz Baba ,moja ya legends wa Bongo Fleva ambae alikua ni miongoni mwa waliofanya aina hii ya muziki kupendwa zaidi nmyumbani kutokana n style yake ya kipekee lakini tungo zake zenye ujumbe makini kabisa,Nae amefika kwenye THE CLASSIC na kutupa hadithi nyingi ambazo hatukuzifahamu hapo kabla

Комментарии

Информация по комментариям в разработке