Part2: Fid Q amefunguka kuhusu Beef yake na Joh Makini na kwanini alimposti instagram.

Описание к видео Part2: Fid Q amefunguka kuhusu Beef yake na Joh Makini na kwanini alimposti instagram.

Hii ndiyo List ya Ngoma 5 alizochagua Fid Q kwenye THE PLAYLIST 100.5 Times FM March 04, 2017

5. Raha tu rmx - AY ft Complex
4. Asanteni kwa Kuja - Mwana FA
3. Salio la verse - Juma Nature
2. Zamu Yangu - Shaa ft Fid Q
1. Mabundi - Big Jah Man ft Fid Q

THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 Times FM kuchagua ngoma 5 kali wanazozikubali na kupiga mastori kibao kuhusu Music, Fashion & LifeStyle, Gadgets & all that.

Show inaruka kwa hewa kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency ya 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Omary Tambwe aka Lil Ommy.

Subscribe, Watch, Share.

Niguse kwenye social networks:

  / lilommy  

  / lilommy  

http://www.lilommy.com for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке