Viongozi wa Kijeshi Mali, Bukina Faso na Niger Waunganisha Nchi Zao, Waunda Shirikisho la Sahel

Описание к видео Viongozi wa Kijeshi Mali, Bukina Faso na Niger Waunganisha Nchi Zao, Waunda Shirikisho la Sahel

Jumamosi ya Julai 6, 2024 viongozi wa kijeshi wa mataifa ya Naija, Bukina Faso na Mali wametia saini makubaliano ya kuunda Shirikisho la Nchi za Sahili yaani Alliance of Sahel States.

Makubaliano hayo yaliwekwa saini na Jenerali Abdourahmane Tchian wa Naija, Kepteni Ibrahim Traore wa Bukina Faso na Kanali Assimi Goita wa mali katika sherehe zilizofanyika jijini Niamey nchini Naija baada ya mkutano wa wakuu hao wa nchi.

Lengo la shirikisho hilo jipya wameeleza kuwa ni kujenga utengamano mpya wa uchumi, siasa na ulinzi wa nchi hizo za Afrika magahribi.


Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке