Capstone Ministers on Sifa

Описание к видео Capstone Ministers on Sifa

Ni baadhi ya waimbaji wa kiume ambao kwa miaka na mikaka sasa wamekuwa wakitukuza Mwenyezi Mungu kwa sauti zao zinazovutia. Ungana nasi ijumaa hii saa mbili usiku tunapokubariki na waimbaji wa kikundi cha capstone

Комментарии

Информация по комментариям в разработке