Dhana Ya Konsonanti - Intermediate Swahili - Swahili Stadia HD

Описание к видео Dhana Ya Konsonanti - Intermediate Swahili - Swahili Stadia HD

MADA : DHANA YA KONSONANTI
Kufikia mwisho wa kipindi hiki mwanafunzi awe na uwezo wa ;
Kueleza dhana ya Konsonanti.
Kueleza dhana ya sifa bainifu za konsonanti.
Kutambua mahali ambapo konsonanti hutamkwa .
Kutaja makundi saba ya konsonanti.
Kutaja majina yanayoweza kuundwa kutokana Konsonanti.

  / swahilistadia  

Swahili Consonants

Комментарии

Информация по комментариям в разработке