Makonda Awashukia 'Maaskofu Feki, Waganga Njaa' : Ashangaa Kutoa Waraka, Matamko Badala ya Kuomba

Описание к видео Makonda Awashukia 'Maaskofu Feki, Waganga Njaa' : Ashangaa Kutoa Waraka, Matamko Badala ya Kuomba

Akiongea katika viwanja vya Magereza, Kisongo katika kongamano liloandaliwa na kiongozi wa huduma ya Arise and Shine, Boniface Mwamposa, mnamo Septemba 20,2024, Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameoneshwa kushangazwa na viongozi wa Dini wanaohubiri kuhusu demokrasia badala ya habari za mbinguni nchini

Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке