ZUMARI | Joseph Rugumyamheto na ushiriki wake katika kuweka misingi ya utumishi bora serikalini

Описание к видео ZUMARI | Joseph Rugumyamheto na ushiriki wake katika kuweka misingi ya utumishi bora serikalini

Ni miongoni mwa wachache waliopambana kuweka misingi na kanuni za utumishi bora serikalini. Alianza kazi wakati wa utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na kustaafu wakati wa Jakaya Kikwete…huyu ni Joseph Rugumyamheto katika kipindi cha Zumari.
#AzamTVUpdates #Zumari

Комментарии

Информация по комментариям в разработке