Viongizi kaunti ya Trans Nzoia walalamikia kucheleweshwa kwa pesa ya mgao wa kaunti

Описание к видео Viongizi kaunti ya Trans Nzoia walalamikia kucheleweshwa kwa pesa ya mgao wa kaunti

Viongozi katika kaunti ya Trans Nzoia wamelalamikia kucheleweshwa kwa pesa ya mgao wa kaunti ambayo imeathiri pakubwa shuguli za maendeleo na ulipaji mishahara kwa wafanyikazi wa serikali. Viongozi hao wanasema hali si hali na kuitaka serikali ya kitaifa kufanya hima kwani huenda hudma zaidi ikaathirika kutokana na uhaba wa pesa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке