AHMEDY ALLY: CHAMA AKITAMBULISHWA YANGA JUA SIMBA HAIMUHITAJI!/HAKUNA TIMU ITAWEZA KUMCHUKUA

Описание к видео AHMEDY ALLY: CHAMA AKITAMBULISHWA YANGA JUA SIMBA HAIMUHITAJI!/HAKUNA TIMU ITAWEZA KUMCHUKUA

Meneja habari na mawasiliano katika timu ya #simbasc amefunguka hatima ya mchezaji wao nyota Clatous Chota Chama ambaye anahusishwa kujiunga na timu ya #yangasc #yanga

Meneja wa idara ya habari na mawasiliano Simba @ahmedally amebanwa mbavu na Ripota wetu @hosemchopa kuhusu taarifa za Simba kushindwa kumbakiza Clatous Chama na kukaribia kutangazwa na wapinzani wao klabu ya Yanga.

Hoja nzito Simba wameshindwana na Clatous Chama mezani au Simba haikimuhitaji kabisa Chama na hakukuwa na mazungumzo yoyote?

Комментарии

Информация по комментариям в разработке