SWAHILI WORSHIP MIX BY DANIEL SIFUNA, NI WEWE BWANA UJUAE, ULIONA SITAWEZA, MATIBABU, MSALABANI 🙏🙏.

Описание к видео SWAHILI WORSHIP MIX BY DANIEL SIFUNA, NI WEWE BWANA UJUAE, ULIONA SITAWEZA, MATIBABU, MSALABANI 🙏🙏.

KENYA, TANZANIA, RWANDA, BURUNDI, UGANDA, SWAHILI WORSHIP SONGS (MIX) BY DANIEL SIFUNA.
KUNA TUMAINI KUTOKA KWA MUNGU KWA YEYOTE ANAYESIKIZA NYIMBO HIZI.
USIKATE TAMAA KWA YOTE UNAYOPITIA LEO HII.
YAWEZAKUWA NI MAZITO KWAKO LAKINI KWA MUNGU YANAWEZEKANA.
JIPE MOYO TU NA UMWOMBE MUNGU.
Kwa yule ambaye Hana kazi, naomba Mungu akuongoze Kila mahali unapoenda kutafuta ajira upate kibali.
Roho ya kukataliwa ishindwe katika Jila la YESU.
Wewe ambaye unafanya kazi na huoni mapato yako, Kila unapopata mshahara kunatokea janga Fulani pesa inapotelea huko., Mungu akuonekania na akumbuke maono Yako.
Kuna nguvu za Mungu KATIKA NYIMBO HIZI.
Ziimbe Kwa imani na umlilie Mungu. Kuna jambo Mungu atatenda ambalo wewe mwenyewe hutaamini.
MUNGU AWABARIKI.
Kwa shukrani/ support Yako MPESA 0746298853
Mungu AWABARIKI..
#swahili worship song
#Nyimbo za maombi
#christiansongs
#gospelsongs
#nyimbo za ROHONI

Комментарии

Информация по комментариям в разработке