Sheikh Kipozeo kaweka wazi wenye tattoo kwenda Hijjah

Описание к видео Sheikh Kipozeo kaweka wazi wenye tattoo kwenda Hijjah

Sheih Hilali Shaweji a.k.a Sheikh Kipozeo ametolea ufafanuzi wa mtu aliyechora tattoo kwenda kwenye Ibada ya Hijjah moja ya nguzo za Dini za Kiislamu ikiwa kwa sasa Waumini wa Kiislamu Duniani wapo katika Ibada ya Hijjah Makka.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке