SHUHUDIA MAPIGO YA KARATE NA MASHARTI YAKE "NI TECHNIQUE HATARI"

Описание к видео SHUHUDIA MAPIGO YA KARATE NA MASHARTI YAKE "NI TECHNIQUE HATARI"

Tunayo story kuhusu mchezo wa Karate, ambapo Sensei Jerome Muhagama amesema mchezo huo unahitaji nidhamu ya hali ya juu, kwani mchezo huo unamtaka mtu aishi kwa vitendo na humfanya asijulikane. Amesema kama mtu hajifunzi katika malezo bora mchezo huo unaweza ukawa wa hatari zaidi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке