MUME AFARIKI MJANE AFUKUZWA na KUBOMOLEWA NYUMBA ALIYOACHIWA URITHI - ALIKUWA IMAMU TAMBAZA...

Описание к видео MUME AFARIKI MJANE AFUKUZWA na KUBOMOLEWA NYUMBA ALIYOACHIWA URITHI - ALIKUWA IMAMU TAMBAZA...

MUME AFARIKI MJANE AFUKUZWA na KUBOMOLEWA NYUMBA ALIYOACHIWA URITHI - ALIKUWA IMAMU TAMBAZA...

Bi Saphia Mohamed mkazi wa Mtaa wa Maliki eneo la Upanga jijini Dar es salaam amemuomba Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kumsaidia kufuatia nyumba yake kubomolewa hivyo kujikuta yeye na familia zaido ya watu 20 wakiwa hawana pa kuishi.

Bi saphia ambaye ni mjane mwenye umri wa miaka 70 amesema kuvunjwa kwa nyumba hiyo kunatokana na mgogoro uliopo baiana ya familia hiyo na msikiti wa tambaza ambapo zoezi hilo la ubomoaji limeanza asubuhi ya leo

Global TV imefika katika eneo hilo na kushuhudia ubompaji ukifanyika ambapo baadhi ya ndugu wa familia walikuwa na haya ya kusema


Global TV mefika katika ofisi ya serikali kata ya upanga ambapo imekutana na diwani kata ya upanga magharibi adnan kitwsna kondo ambaye amesema mgogoro huo ulisha malizwa na mahakama kwa kjtoa ushindi kwa bodi ya wadhamini wa msokiti wa tambaza hiku akieleza kwa uthibitisho wa byaraka mbalimbali za umiliki halali wa bodi ya udhamini wa msikito wa tambaza

Jishindie Zawadi na Global TV

Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7



============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке