Kamati ya seneti yatupilia mbali mswada wa Cherargei unaolenga kuongeza muhula wa rais

Описание к видео Kamati ya seneti yatupilia mbali mswada wa Cherargei unaolenga kuongeza muhula wa rais

Kamati Ya Seneti Ya Sheria Imetupilia Mbali Mswada Wa Marekebisho Ya Katiba Ya Kenya, 2024, Ambao Unalenga Kuongeza Muda Wa Kuhudumu Wa Viongozi Waliochaguliwa. Mswada Huo Unalenga Kuwaongezea Muda Kutoka Miaka Mitano Hadi Saba Kwa Muhula. Na Kama Anavyoarifu Willy Lusige, Kamati Hiyo Inasema Kuwa Imeafikia Uamuzi Huo Kwani Asilimia 99 Ya Wakenya Waliowasilisha Maoni Yao Waliupinga Huku Asilimia Kumi Na Mmoja Pekee Wakiuunga Mkono.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке