Mogaka Awashambulia Vincent Ateya Na Melody Studioni

Описание к видео Mogaka Awashambulia Vincent Ateya Na Melody Studioni

Kwenye mahojiano naye muigizaji maarufu #Mogaka alionekana kukerwa na utaratibu wa #RadioCitizen baada ya kukatisha mahojiano na kucheza mziki Mogaka aliamua kutoa mpangilio na utaratibu wake la sivyo aondoke kwenye kikao hicho hata hivyo mahojiano yaliendelea bila tatizo lolote #VincentAteya #MelodySinzore

Комментарии

Информация по комментариям в разработке