Afya Na Kazi | Ibada ya Jumapili | 23 Jun 2024 | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Описание к видео Afya Na Kazi | Ibada ya Jumapili | 23 Jun 2024 | Rev. Dr. Eliona Kimaro

IBADA YA JUMAPILI (IBADA YA KWANZA)
23/ 06/ 2024

UJUMBE WA LEO: AFYA NA KAZI


Mathayo 8 : 14 - 17

14 Hata Yesu alipofika nyumbani kwa Petro, akamwona mkwe wa Petro, mamaye mkewe, amelala kitandani hawezi homa.

15 Akamgusa mkono, homa ikamwacha; naye akaondoka, akawatumikia.

16 Hata kulipokuwa jioni, wakamletea wengi wenye pepo; akawatoa pepo kwa neno lake, akawaponya wote waliokuwa hawawezi,

17 ili litimie lile neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema, Mwenyewe aliutwaa udhaifu wetu, Na kuyachukua magonjwa yetu.

Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Комментарии

Информация по комментариям в разработке