Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Sikio la Kufa: Daktari Feki Aliyenaswa Muhimbili, Adakwa Tena Amana, Cheki Ilivyokuwa

  • Global TV Online
  • 2017-08-21
  • 14215
Sikio la Kufa: Daktari Feki Aliyenaswa Muhimbili, Adakwa Tena Amana, Cheki Ilivyokuwa
  • ok logo

Скачать Sikio la Kufa: Daktari Feki Aliyenaswa Muhimbili, Adakwa Tena Amana, Cheki Ilivyokuwa бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Sikio la Kufa: Daktari Feki Aliyenaswa Muhimbili, Adakwa Tena Amana, Cheki Ilivyokuwa или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Sikio la Kufa: Daktari Feki Aliyenaswa Muhimbili, Adakwa Tena Amana, Cheki Ilivyokuwa бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Sikio la Kufa: Daktari Feki Aliyenaswa Muhimbili, Adakwa Tena Amana, Cheki Ilivyokuwa

Mkazi wa jiji la Dar es Salaam, Abdallah Juma aliyewahi kukamatwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akidaiwa kujifanya daktari amenaswa tena katika Hospitali ya Rufaa ya Amana kwa kufanya kazi katika hospitali hiyo wakati sifa za udaktari hana.

Juma amenaswa akijifanya daktari, baada ya kuwekewa mtego na uongozi wa hospitali hiyo.

Kukamatwa kwa Juma kunakuja ikiwa ni miezi mitatu tu imepita tokea Juni 19 mwaka huu alipo kamatwa katika hospitali ya Muhimbili kwa kujifanya daktari.

Katika hospitali ya Muhimbili kijana huyo alijifanya kutoa huduma katika maabara kuu huku uongozi ukiwa hauna taarifa ya kuwepo kwa huduma aliyokuwa akiitoa kitu ambacho kilisababisha kushtukiwa na kukamatwa.

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Amana, Zainab Hoti akizungumza waandishi habari juu wananchi kuacha njia ya mkato katika kupata huduma katika hospitali ya Amana.

Baada ya kukamatwa Uongozi wa hospitali hiyo ulifanya uchunguzi na kubaini kuwa kijana huyo hakuwa daktari bali daktari feki kama alivyokuwa akijitambulisha na kwamba amekamatwa mara baada ya kuwekewa mtego na askari wa hospitali hiyo. Daktari wa Kitengo cha Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU), Shani Mwaruka alikiri kukamatwa kwa kwa mtuhumiwa huyo.

Amesema, Juma alinaswa baada ya uongozi kupata malalamiko kutoka kwa watu waliokuwa wakihitaji huduma katika hospitalini hiyo. Amesema tayari hospitali hiyo iliweka mtego imara wa maofisa wake, ambapo Juma aliingia bila hofu yeyote na kukutana na watu ambao alitaka wampe fedha ili awahudumie ndipo aliponaswa.

Baadhi ya watu waliodaiwa kuombwa fedha na daktari huyo feki, wamesema aliahidi kuwatafutia kazi mbalimbali katika hospitali hiyo.

Daktari wa Kitengo cha Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU) wa Hospitali ya Amana, Shani Mwaruka akizungumza na waandishi wa habari juu ya kumnasa Daktari ‘feki’ katika hospitali hiyo leo jijini Dar es Salaam.

Nae mwananchi aliyekwenda kupata huduma hospitali ya Amana Cecilia amesema Agosti 9 mwaka huu, kijana huyo aliwaeleza kuwa kuna kazi katika hospitali ya Amana na yeye kama daktari bingwa anayefanya kazi hapo anaweza kuwasaidia.

“Alituambia kuwa fomu zinatolewa katika hospitali ya muhimbili sh. 150,000 lakini kwakuwa wao ni madakatari atatufanyia kwa sh. 100,000 tu. Tulichanga fedha hiyo na ilifikia 800,000 tukampatia,” alieza Cecilia. Ameongeza,Juni 19 mwaka huu aliwaita katika hospitali ya Amana ili kufanyiwa usahili lakini hakutokea na simu akawa hapokei.

“Tuliamua kuuliza kwa madakatari kama wanamfahamu lakini hakuna aliyemfahamu ndipo tulipobaini kwamba tumetapeliwa na kuamua kufanya mtego kwa kushirikiana na uongozi uliofanikisha kumnasa leo ,” alieleza.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • VIDEO: RAIS SAMIA ALIVYOINGIA KANISA KATOLIKI CHINI ya ULINZI MKALI KWENYE IBADA ya KARDINALI PENGO
    VIDEO: RAIS SAMIA ALIVYOINGIA KANISA KATOLIKI CHINI ya ULINZI MKALI KWENYE IBADA ya KARDINALI PENGO
    30 минут назад
  • #TAZAMA| DAKTARI FEKI ADAKWA MUHIMBILI
    #TAZAMA| DAKTARI FEKI ADAKWA MUHIMBILI "MIMI NI OSTADHI MBAGALA"
    2 года назад
  • Polisi feki akamatwa jijini Dar es Salaam
    Polisi feki akamatwa jijini Dar es Salaam
    6 лет назад
  • MZEE MAGOMA ATEMA CHECHE - ''MANARA na ALLY KAMWE WOTE ni SIMBA - HERSI ni MCHEPUKO''....
    MZEE MAGOMA ATEMA CHECHE - ''MANARA na ALLY KAMWE WOTE ni SIMBA - HERSI ni MCHEPUKO''....
    1 час назад
  • MTAALAM FEKI WA MAABARA ANASWA AKITOA HUDUMA ZAHANATI
    MTAALAM FEKI WA MAABARA ANASWA AKITOA HUDUMA ZAHANATI
    6 лет назад
  • #TBC1: KISHINDO CHA AWAMU YA SITA | HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
    #TBC1: KISHINDO CHA AWAMU YA SITA | HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
    7 месяцев назад
  • MTOTO ADAIWA KUMCHINJA MJUKUU WA MWENYE NYUMBA
    MTOTO ADAIWA KUMCHINJA MJUKUU WA MWENYE NYUMBA
    10 месяцев назад
  • 🔴#Live: MZEE MAGOMA AFICHUA MAZITO KUELEKEA DABI - KURUJUAN IMEREJEA  KAZI WANAYO....
    🔴#Live: MZEE MAGOMA AFICHUA MAZITO KUELEKEA DABI - KURUJUAN IMEREJEA KAZI WANAYO....
    Трансляция закончилась 2 часа назад
  • Daktari feki mikononi mwa Polisi Mbeya
    Daktari feki mikononi mwa Polisi Mbeya
    6 лет назад
  • MNH - AFYA  PODCAST: Fahamu kuhusu Kiharusi (Stroke) na Prof. Mohamed Janabi
    MNH - AFYA PODCAST: Fahamu kuhusu Kiharusi (Stroke) na Prof. Mohamed Janabi
    2 года назад
  • TAPELI AKAMATWA NJOMBE AKIWALAGHAI WATU NDANI YA BENKI, MASHUHUDA WASIMULIA
    TAPELI AKAMATWA NJOMBE AKIWALAGHAI WATU NDANI YA BENKI, MASHUHUDA WASIMULIA
    3 года назад
  • Daktari feki anaswa Muhimbili
    Daktari feki anaswa Muhimbili
    8 лет назад
  • MAKONDA:KWANINI? UMETUMIA MILIONI 600 NA MAJI HAYATOKI
    MAKONDA:KWANINI? UMETUMIA MILIONI 600 NA MAJI HAYATOKI
    1 год назад
  • MUONEKANO MPYA WA HOSPITALI YA MUHIMBILI, PROF JANABI AFAFANUA HUDUMA YA KUEGESHA MAGARI
    MUONEKANO MPYA WA HOSPITALI YA MUHIMBILI, PROF JANABI AFAFANUA HUDUMA YA KUEGESHA MAGARI
    2 года назад
  • MAFUNDI TANESCO NDARO NA STEVE UTACHEKA
    MAFUNDI TANESCO NDARO NA STEVE UTACHEKA
    2 года назад
  • DAKTARI FEKI ADAKWA MUHIMBILI
    DAKTARI FEKI ADAKWA MUHIMBILI "MIMI NI OSTADHI MBAGALA NATAPELI TU"
    2 года назад
  • TAZAMA JAMAA WALIVYOINGIA 18 ZA KAMANDA MUROTO, WAPIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA
    TAZAMA JAMAA WALIVYOINGIA 18 ZA KAMANDA MUROTO, WAPIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA
    5 лет назад
  • DAKTARI FEKI AKAMATWA AKITIBU WAGONJWA NYUMBANI KWAKE
    DAKTARI FEKI AKAMATWA AKITIBU WAGONJWA NYUMBANI KWAKE "AMEHUDUMIA WATU 119 DAWA ZIME-EXPIRE"
    6 лет назад
  • JAMAA WA TUMA KWA NAMBA HII AKAMATWA ARUSHA, AFUNGIWA NDANI
    JAMAA WA TUMA KWA NAMBA HII AKAMATWA ARUSHA, AFUNGIWA NDANI "WALITAKA KUMCHOMA MOTO"
    2 года назад
  • UBORESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MBEYA
    UBORESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MBEYA
    2 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com