Vijana 400 wa Tanzania wapata ajira Saudi Arabia

Описание к видео Vijana 400 wa Tanzania wapata ajira Saudi Arabia

Zaidi ya vijana 400 kusafiri kuelekea nchini Saudi Saudi Arabia baada ya kufanikiwa kupata fursa za kazi nchini humo kufuatia ushirikiano wa Tanzania na Saudi Arabia.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке