Zanzibari/Omani Halwa ya Kiswahili

Описание к видео Zanzibari/Omani Halwa ya Kiswahili

Mahitaji:
½ Nusu kikombe + vijiko 2 vya kulia (Cornstarch au Tapioca Starch ( uwanga wa muhogo) ) kwa kupata haluwa nzuri ni vizuri kama utachanganya tapioca starch 1/2 nusu kikombe + Vjk 2 vya kulia corn starch
½ Nusu kikombe Maji
Vikombe 2 na nusu vya maji
Majani ya chai vijiko 2 vidogo au zaidi
¾ Kikombe kasoro samli au mafuta au mchanganiyiko ( mie nimetumia samli ½ na mafuta ¼)
2 vikombe viwili sukari ya brown
1 kikombe kimoja sukari nyeupe
2 Vijiko vikubwa maji ya mawardi
2 vijiko vidogo hiliki ilosangwa ( unga)
1 kijiko kidogo kukumanga ya kusaga
½ nusu kijiko kidogo zaafarani
1 kijiko kikubwa ufuta kama utapenda

Комментарии

Информация по комментариям в разработке