Himidiwa Joyce Kadilo (Send Skiza 6986256) to 811

Описание к видео Himidiwa Joyce Kadilo (Send Skiza 6986256) to 811

Lyrics
Oooh
Hallelujah


Ooh Bwana ninanjua
Mpango wako kwangu
Waniwazia mema
Bwanaa

Ooh Bwana ninanjua
Mpango wako kwangu
Waniwazia mema
Bwanaa


Ooh Bwana ninanjua
Mpango wako Kwa Maisha yangu
Waniwazia baraka
Bwanaa

Ooh Bwana ninanjua
Mpango wako kwangu
Waniwazia mema
Bwanaa


Tunakushukuru Mungu Kwa Neno lako.
Yeremia 29:11
[11]Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

Asante Yesu
Hallelujah
Hakuna kama weeeweee
Bwana.
Ooooh

Bwana ninanjua
Mpango wako kwangu
Waniwazia mema
Bwanaa

Unaniwazia mema
Bwanaa

Bwanaa

Ooooh
Unaniwazia baraka babaa
Bwanaa

Yesu unaniwazia mema
Bwanaa

Simba wa Yuda
Unaniwazia kibali
Bwanaa

Hallelujah
Unaniwazia ushindi Babaa
Bwanaa

Unaniwazia uponyaji
Bwanaa

Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu Baba

Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu Baba

Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu Baba

Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu Baba

Oooooh
Unastahili sifa na Ibada
Wewe ni Mungu Baba

Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu Baba

Unastahili sifa na Ibada
wewe ni Mungu Baba

Unastahili kuabudiwa
Wewe ni Mungu Baba

Hakika wewe
Ni Mungu Baba
Wewe ni Mungu Baba

Kweli weweee
Ni Mungu Baba
Wewe ni Mungu Baba

Nasema wewee
Ni Mungu Baba
Wewe ni Mungu Baba

Kweli wewee
Ni Mungu Baba
Wewe ni Mungu Baba

Hakika wewe
Ni Mungu Baba
Wewe ni Mungu Baba

Baba weweee
Ni Mungu Baba
Wewe ni Mungu Baba

Nasema wewee
Ni Mungu Baba
Wewe ni Mungu Baba

Ni Mungu Baba
Ni Mungu Baba
Ni Mungu Baba
Ni Mungu Baba


Oooh
Himidiwa Bwana Yesu
Himidiwa milele

Himidiwa Bwana Yesu
Himidiwa Bwana Yesu

Inuliwa mwana wa Mungu
Inuliwa hakuna kama wewe

Himidiwa Bwana Yesu
Himidiwa Bwana Yesu

Usifiwe Simba wa Yuda
usifiwe Bwana Yesu

Himidiwa Bwana Yesu
Himidiwa Bwana Yesu

Usifiwe Simba wa Yuda
usifiwe Bwana Yesu

Bwanaa

Mume wa wajane Baba wa yatima
Hakuna kama wewe

Bwanaa

Wewe ulioumba lakini hukuumbwa himidiwa
Bwanaa
Unaponena wakuu wanyamaza sujudiwa
Bwanaa
Uketie mahali pa juu uko peke yako
Bwanaa
Unatenda haki kwa watu wote heshimiwa
Bwanaa
Uumbaji wako ni wa maajabu himidiwa
Bwanaa
Bwanaaa
Wewe ulioumba lakini hukuumbwa himidiwa
Bwanaa

Unaponena wakuu wanyamaza sujudiwa
Bwanaa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке