Goli la kujifunga | Simba SC 0-1 Yanga SC | NBC Premier League 19/10/2024

Описание к видео Goli la kujifunga | Simba SC 0-1 Yanga SC | NBC Premier League 19/10/2024

KARIAKOO DERBY | Goli pekee la kujifunga kupitia kwa Kelvin Kijili, limeipa Yanga pointi tatu muhimu katika mchezo wa Kariakoo Derby, #NBCPremierLeague , ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Hili hapa goli ....

Комментарии

Информация по комментариям в разработке