mazishi ya Tate yangu kaswera

Описание к видео mazishi ya Tate yangu kaswera

Inalillahi wa inaillaihi radjiuna
Mavumbini tulitoka na kule kule tutarudi kwa hiyo mimi na wewe tujiandae vyema ku fanya matendo mema hapa duniani ili tunusurike na azabu za ya kaburini mwenyezi Mungu atusemahe sote pamoja na waliyo tangulia katika familia zetu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке