Jux - Incase You Don't Know (Official Music Video) ft. Nyashinski

Описание к видео Jux - Incase You Don't Know (Official Music Video) ft. Nyashinski

A brand new release from Tanzania RNB Iconic Singer, Jux featuring The most Influential rapper in Kenya Nyashinski.

This is his first song since the beginning of 2019. The song brings message to all lovers to know the value of your partner’s presence in your life.

The video was captured in Nairobi, Kenya with a Tanzanian Video Director Hanscana.

Follow Jux
Facebook:   / juma-jux-553.  .
Instagram:   / juma_jux  
Twitter:   / africanboyjux  

Lyrics:

Intro:
Its Bob Manecky
Iyeee

Verse: Jux
Ni maradufu
Upendo wako umenifaa
Ni maradufu yeah yeah
Uwepo wako umetawala
Nikiwa pekee yangu (bado bado) Sijakamilika(bado)
Ata mipango yangu(bado bado) Inavugurika(bado)
Hakuna anayezidi kwako mama
Nguvu ya mapenzi yako balaa
Umenifanya nijione bora
Bila wee me siwezi ng'ara
Hakuna tena zaidi yako mama(zaidi yako mamaa)
Nguvu ya mapenzi yako balaa(mapenzi yako balaa)
Umenifanya nijione bora(nijione boraa)
Bila wee me siwezi ng'ara (no no)

Chorus: Jux
Incase you don't know!(iye)
Nitacheka nawe, nitacheza nawe, nitaimba na wewe
Incase you don't know!(iye)
Nitaringa nawe, nitakwenda nawe, popote my baby girl
Incase you don't know!(iye)
Nitacheza nawe, nitaimba nawe, nitakwenda na wewe
Incase you don't know!(iye)
Nitacheza nawe, nitaringa nawe(iye...)
Incase you don't know!

Verse: Nyashinski
Hii inaweza kuwa fresh, Ka una time twende mahali out
Okey inachosha, usimind naeza kaa kwa couch
Nitry kukuimpress ata smile, baby angalau
Na tunatesa hii town, tunairun wallahi
Mahater wanakesha wakitry, kubring huyu lover down
Uskuwe na pressure sit down, let me run my mouth
Isikuogopeshe ikisound kama wedding vows Nikutumie location ucome mahali pia tulaunch
Night ikue special surroud sound,
Movie loud Do be loud,
Si huwa loud
Hata bila party (its a party for two)
My mission is to always stay true
Live to see my dreams come true
With you you you you you (you...uuu)
I smell the wine on your breath
Then you turn around and whine by yourself(for me)
You got me trying to resist,
I pay no mind to the rest
Na nakuanga nimekumind, You are the best for me
You pretty bum look
Now you make me love you
Now let me remind you
Or tell you

Chorus: Jux
Incase you don't know!(iye)
Nitacheka nawe, nitacheza nawe, nitaimba na wewe
Incase you don't know!(iye)
Nitaringa nawe, nitakwenda nawe, popote my baby girl
Incase you don't know!(iye)
Nitacheza nawe, nitaimba nawe, nitakwenda na wewe
Incase you don't know!(iye)
Nitacheza nawe, nitaringa nawe(iye...)
Incase you don't know!

Bridge : Jux
Nasema me...
Najivunia kuwa na weee...
Kwa furaha unayonipa, nipa darling (uuuh) Nasema me...
Najivunia kuwa na weee...eeh
Kwa furaha unayonipa, nipa beiby

Chorus: Jux
Incase you don't know!(iye)
Nitacheka nawe, nitacheza nawe, nitaimba na wewe
Incase you don't know!(iye)
Nitaringa nawe, nitakwenda nawe, popote my baby girl
Incase you don't know!(iye)
Nitacheza nawe, nitaimba nawe, nitakwenda na wewe
Incase you don't know!(iye)
Nitacheza nawe, nitaringa nawe(iye...)
Incase you don't know!

http://vevo.ly/5iwmI4

Комментарии

Информация по комментариям в разработке