BALAA! WAMAASAI WATAKA HAKI, OLOIROBI

Описание к видео BALAA! WAMAASAI WATAKA HAKI, OLOIROBI

Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro bado wanaendelea kupiga kambi katika kijiji cha Oloirobi ikiwa ni mwendelezo wa kudai haki zao. Wananchi hao hapo jana walizungumza na uongozi wa mkoa ambapo waliahidiwa siku 4 ili kushughulikia madai yao

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE Youtube Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Комментарии

Информация по комментариям в разработке