Unapenda kujua maisha ya Norway? Mtanzania Alice Mtui anayaonesha kwenye channel yake hii ya YouTube

Описание к видео Unapenda kujua maisha ya Norway? Mtanzania Alice Mtui anayaonesha kwenye channel yake hii ya YouTube

Alice Mtui ni Mtanzania aishiye nchini Norway. Pamoja na kufanya kazi huko, ana channel yake ya YouTube iitwayo From Tanzania and Norway ambayo huitumia kuongelea maisha na tamaduni za nchi hizo mbili.

Unaweza kusubscribe kwenye channel yake kwa kufuata link hii:

   / fromtanzaniatonorway  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке