BAGIA | Jinsi ya Kupika BAGIA za fasta fasta zenye Mahitaji Rahisi Sana

Описание к видео BAGIA | Jinsi ya Kupika BAGIA za fasta fasta zenye Mahitaji Rahisi Sana

BAGIA. jinsi ya kupika bagia za fasta fasta zenye mahitaji machache. BAGIA za DENGU.
MAHITAJI:-
Unga wa dengu (nusu kilo)
chumvi (Kijiko 1 cha chai)
pilipili manga (Kijiko 1 cha chai)
baking powder (vijiko 2 vya chai)
maji
mafuta ya kukaangia

#bagia #bhajia #bhajiya #belsfarmkitchenswahili #bagiazadengu #jinsiyakupikabagia #mapishirahisiyabagia

Комментарии

Информация по комментариям в разработке