Mgombea mwenza wa Odinga,Martha Karua asherehekewa nyumbani Kirinyaga

Описание к видео Mgombea mwenza wa Odinga,Martha Karua asherehekewa nyumbani Kirinyaga

Viongozi wa mrengo wa Azimio waongoza mikutano kaunti hii
Misururu ya mikutano imeandaliwa katika kaunti nne Kirinyaga
Karua ameahidi kuhakikisha kuwa Azimio inapata ushindi Agosti

Комментарии

Информация по комментариям в разработке