MCHUNGAJI IRENE UWOYA AUMBUKA MAMA HUYU AMVAA VIBAYA | WEWE SIO MCHUNGAJI ACHA UDANGAJI

Описание к видео MCHUNGAJI IRENE UWOYA AUMBUKA MAMA HUYU AMVAA VIBAYA | WEWE SIO MCHUNGAJI ACHA UDANGAJI

"Irene Uwoya karibu sana Dada kwenye Ukristo, lakini Irene Uwoya Ukristo ni gharama mpendwa kaa unyenyekee ufundishwe sio umekurupuka tu juzi unaanza kusema wewe ni mtumishi ni Mchungaji. Mchungaji who? where? Kwanini mnafanya kanisa kama ni ukimbi wa disco kila mtu anakuja kucheza mdumange?"

"Mshindwe katika jina la Yesu🫸 Irene kama umekuja umeokoka kaa utulie ufundishwe una mambo mengi umemtumikia adui muda mrefu unatakiwa uonywe, uondolewe kila aina ya takataka, itakuchukua muda mrefu kutakasika ndipo uwe mtumishi lakini si leo Irene, unajitamkia tu uwe Mchungaji kwasababu wewe ni maarufu? huku sio kwenye siasa kwamba ukiwa maarufu unaingia kwenye siasa, hatuutaki Uchungaji wako"- Mtumishi Mariamartha Kailembo

#ireneuwoya #zabronsingers

Комментарии

Информация по комментариям в разработке