Kutana na usiyoyajua kuhusu Maua, staa wa 'mahaba niue'

Описание к видео Kutana na usiyoyajua kuhusu Maua, staa wa 'mahaba niue'

Maua ni mwimbaji mwingine ambaye inawezekana nyimbo zake unazijua sana kuliko unavyozisikia jina lake, ni nyimbo ambazo utakutana nazo zikipigwa mitaani, kwenye Radio na kwengine ikiwemo let them know na mahaba niue

Комментарии

Информация по комментариям в разработке