Siku ya Wanawake Duniani 8 Machi, 2022 Mkoa wa Dar es Salaam.

Описание к видео Siku ya Wanawake Duniani 8 Machi, 2022 Mkoa wa Dar es Salaam.

Wanawake kutoka ofisi ya GPSA Makao Makuu, sehemu ya Ugomboaji na mkoa wa Dar es Salaam walishiriki Siku ya Wanawake Duniani katika mkoa wa Dar es Salaam kwa maandamano kuelekea uwanja wa Uhuru.

Maadhimisho Kimkoa yalifanyika katika wilaya ya Temeke katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni "Kizazi cha Haki na Usawa kwa Maendeleo Endelevu"

******************************************

#SikuYaWanawakeDuniani2022 #IWD2022 #GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali

Комментарии

Информация по комментариям в разработке