Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Yupi Yatima Zaidi Aliyefiwa Na Mama Au Baba?

  • Muslimu Tv
  • 2021-06-08
  • 847
Yupi Yatima Zaidi Aliyefiwa Na Mama Au Baba?
  • ok logo

Скачать Yupi Yatima Zaidi Aliyefiwa Na Mama Au Baba? бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Yupi Yatima Zaidi Aliyefiwa Na Mama Au Baba? или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Yupi Yatima Zaidi Aliyefiwa Na Mama Au Baba? бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Yupi Yatima Zaidi Aliyefiwa Na Mama Au Baba?

Mcheni ALLAH Mtukufu na ikumbukeni kauli yake isemayo :

{ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُواْ رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُم مِّن نَّفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالاً كَثِيراً وَنِسَاءً وَاتَّقُواْ اللّهَ الَّذِي تَسَاءَلُونَ بِهِ وَالأَرْحَامَ إِنَّ اللّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيباً }النساء 1

“ Enyi watu ! Mcheni Mola wenu ambae amekuumbeni kutokana na nafsi moja. Na akaumba mkewe kutokana na nafsi ile ile. Na akaeneza wanaume wengi na wanawake kutoka katika wawili hao. Na mcheni ALLAH ambaye kwaye mnaombana na muwatazame jamaa. Hakika ALLAH ni mlinzi juu yenu”.

Tambueni kuwa Uislamu umetukuza haki za madhaifu kama vile masikini, mafakiri, vizuka na mayatima, kwani katika hayo kuna taathira kubwa katika nafsi na hisia zao, hasa kwa yatima alieondokewa na wazee wake wawili au mmoja wao. Huyu ana haja kubwa ya kuonewa huruma, kusaidiwa na kuongozwa tangu udogoni na kufunzwa adabu na tabia njema. Na ikiwa atakosa haya, bila ya shaka atainukia katika tabia mbaya na atakuwa na mtazamo wa chuki kwa jamii yake kwa sababu ya kumtupa na kumdharau.

Ndugu Waislamu :

Uislamu umekuwa mbele katika kumlinda yatima kimalezi na kumdhaminia maisha yake ili ainukie akiwa ni kiungo chenye manufaa katika jamii yake.

Qur-ani inatuhimiza kulinda haki za yatima na inatukataza kumdhalilisha na kumdharau, na inatuonesha kuwa kumdharau yatima ni dalili ya kukadhibisha siku ya malipo.

Anasema ALLAH (SW) :

{ فَأَمَّا الْيَتِيمَ فَلاَ تَقْهَرْ }الضحى 9

“ Basi usimuonee yatima”.

Na amesema vile vile :

{ أَرَأَيْتَ الَّذِي يُكَذِّبُ بِالدِّينِ * فَذَلِكَ الَّذِي يَدُعُّ الْيَتِيمَ }الماعون 1 – 2

“ Jee umemuona yule anaekadhibisha dini ? Huyo ni yule anaemsukuma yatima”.

Na zimekuja hadithi nyingi za Mtume (saw) zinazohimiza kuwatazama mayatima, na zikawabashiria kheri nyingi wawatunzao mayatima kwa wema ya kuwa watakuwa pamoja na Mtume (saw) huko peponi.

Na imepokewa kuwa Mtume (saw) amesema :

“ Mimi ni mtu wa mwanzo ataefunguwa mlango wa pepo, isipokuwa nitamuona mwanamke anataka kunitangulia, nami nitamuuliza : unataka nini? Na wewe nani ? Nae atajibu : mimi ni mwanamke niliekuwa nikiwatizama mayatima wangu”.

Enyi Waja wa ALLAH :

Hakika haki za mayatima kimalezi na katika kuwatunzia mali zao zimetiliwa mkazo sana na Qur-ani na katika sunna za Mtume (saw). Na ilipoteremka amri ya kuchunga haki hizo katika Qur-ani, Masahaba waliingiwa na wasiwasi katika utekelazaji wake na wakamuuliza Mtume (saw) juu ya hayo, ikateremka kauli ya ALLAH (SW) isemayo :

{ وَيَسْأَلُونَكَ عَنِ الْيَتَامَى قُلْ إِصْلاَحٌ لَّهُمْ خَيْرٌ وَإِنْ تُخَالِطُوهُمْ فَإِخْوَانُكُمْ وَاللّهُ يَعْلَمُ الْمُفْسِدَ مِنَ الْمُصْلِحِ وَلَوْ شَاء اللّهُ لأعْنَتَكُمْ إِنَّ اللّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ }البقرة 220

“ Na wanakuuliza juu ya mayatima. Sema, kuwatendea wema ndio vizuri. Na kama mkichanganyika nao ( ndio wema vile vile) kwani hao ni ndugu zenu, na ALLAH anamjua fisadi na alie mwema. Hakika ALLAH ni mwenye nguvu na mwenye hikma”.

فَاتَّقُوا اللهَ – عِبَادَ اللهِ – وَرَاقِبُوا اللهَ فِيْمَنْ ائْتَمَنَكُمْ عَلَيْهِمْ مِنَ الْي
Ndugu Waislamu :

Kusimamia mambo ya mayatima ni jambo la wajibu na lenye kheri kubwa, na inampasa kila anaemlea yatima amlee kwa wema kama anavyowalea watoto wake mwenyewe, na iwapo yatima huyo atakuwa na mali basi ajiepushe kabisa na kula mali hiyo, kwani kula mali za yatima pasi na haki ni katika madhambi makubwa.

Anasema ALLAH (SW) :

{ إِنَّ الَّذِينَ يَأْكُلُونَ أَمْوَالَ الْيَتَامَى ظُلْماً إِنَّمَا يَأْكُلُونَ فِي بُطُونِهِمْ نَاراً وَسَيَصْلَوْنَ سَعِيراً }النساء 10

“ Hakika wale ambao wanakula mali za mayatima kwa dhulma, bila ya shaka wanakula moto katika matumbo yao, na wataungua katika huo moto ( wa Jahannamu ) uwakao”.

Na anasema Mtume (saw) :

(( اجْتَنِبُوا السَّبْعَ الْمُوبِقَاتِ ، قَالُوا يَا رَسُولَ اللهِ وَمَا هُنَّ ؟ قَالَ : الشِّرْكُ بِاللهِ ، وَالسِّحْرُ ، وَقَتْلُ النَّفْسِ الَّتِي حَرَّمَ اللهُ إِلاَّ بِالْحَقِّ ، وَأَكْلُ الرَّبَا ، وَأَكْلُ مَالِ الْيَتِيْمِ ، وَالتَّوَلِّي يَوْمَ الزَّحْفِ ، وَقَذْفُ الْمُحْصَنَاتِ الْغَافِلاَتِ الْمُؤْمِنَاتِ ))

“ Jiepusheni na mambo saba yaangamizayo. Wakasema ni yepi hayo ewe Mjumbe wa ALLAH ? Akasema : Kumshirikisha ALLAH, uchawi, kuiuwa nafsi ambayo ALLAH ameharamisha kuiuwa ila kwa haki, kula riba, kula mali za yatima, kukimbia vitani, na kuwasingizia mambo machafu wanawake wa kiislamu wenye heshima zao ”.

Na pia imekuja katika kisa cha Miiraj wakati Mtume (saw) alipopandishwa mbinguni na kuoneshwa mambo ya huko ya kuwa, aliwaona watu wananyofoa nywele zao na wengine wanachukua mawe na kuyatia katika midomo yao kisha hutokea katika tupu zao. Akamuuliza Jibril (as) nani wale ? Jibril akamjibu kama ilivyokuja katika aya ya 10 ya Suurat Annisaa : “Hawa ni wale waliokula mali za mayatima kwa dhulma, hakika wanakula moto ndani ya matumbo yao”.

#mwenyekumsaidiayatimamjane #sheikhothmanmaalimmayatima #mawaidhayatimawajane #niyupiyatimaaliyefiwanamamaaubaba #mawaidhamuslimutv #mawaidhayatima #mawaidhamjane

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • KISA CHA MAYATIMA WAWILI SHEIKH OTHMAN MAALIM
    KISA CHA MAYATIMA WAWILI SHEIKH OTHMAN MAALIM
    2 года назад
  • KISA CHA BIBI MWENYE KUJIBU MASWALI KWA QUR AN
    KISA CHA BIBI MWENYE KUJIBU MASWALI KWA QUR AN
    4 года назад
  • MAJIBU YA SWALI LA MUNJILIST ISLAEL BY SHEIKH MBOGO TZ.
    MAJIBU YA SWALI LA MUNJILIST ISLAEL BY SHEIKH MBOGO TZ.
    15 часов назад
  • 🔴 СРОЧНО США ГОТОВЯТ САМЫЙ МОЩНЫЙ УДАР ПО ИРАНУ #новости #одиндень
    🔴 СРОЧНО США ГОТОВЯТ САМЫЙ МОЩНЫЙ УДАР ПО ИРАНУ #новости #одиндень
    5 часов назад
  • Kutolewa Roho Kwa Mtu Muovu Na Kafiri Sehem ya kwanza | Sheikh Nassoro Bachu
    Kutolewa Roho Kwa Mtu Muovu Na Kafiri Sehem ya kwanza | Sheikh Nassoro Bachu
    4 года назад
  • SAFARI YA SHEIKH MAZINGE SOUTH AFRICA
    SAFARI YA SHEIKH MAZINGE SOUTH AFRICA
    3 месяца назад
  • Скотт Риттер: Мы все должны остановить это, пока мир не оказался на грани катастрофы.
    Скотт Риттер: Мы все должны остановить это, пока мир не оказался на грани катастрофы.
    1 день назад
  • Peaceful Quran Recitation for Sleep | Ayatul Kursi, Surah Rahman, Yassen, Waqiah, Mulk by Alaa Aqel
    Peaceful Quran Recitation for Sleep | Ayatul Kursi, Surah Rahman, Yassen, Waqiah, Mulk by Alaa Aqel
    9 часов назад
  • Dunia inawatu wake na Akhra inawatu wake-Sheikh othuman maalim
    Dunia inawatu wake na Akhra inawatu wake-Sheikh othuman maalim
    1 месяц назад
  • UCHUNGU ANAOPATA MTU PINDI ANAPOFIKWA NA UMAUTI PART 2
    UCHUNGU ANAOPATA MTU PINDI ANAPOFIKWA NA UMAUTI PART 2
    4 года назад
  • NI LIPI ZAO KUBWA NDANI YA RAMADHAN (SHEIKH UTHMAAN MAALIMA)🙂
    NI LIPI ZAO KUBWA NDANI YA RAMADHAN (SHEIKH UTHMAAN MAALIMA)🙂
    1 месяц назад
  • MALIPO YA KUMSAIDIA MJANE , YATIMA NA MASKINI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
    MALIPO YA KUMSAIDIA MJANE , YATIMA NA MASKINI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
    2 года назад
  • Bu gecənin münacatı Hacı Şahin  Qədr gecəsi Bu duaları çox edin
    Bu gecənin münacatı Hacı Şahin Qədr gecəsi Bu duaları çox edin
    2 дня назад
  • Sheikh Othman Maalim - Misingi ya Kuchagua Mke Anayefaa Kuoa
    Sheikh Othman Maalim - Misingi ya Kuchagua Mke Anayefaa Kuoa
    4 года назад
  • KISA HIKI CHA YATIMA CHAWALIZA WATU KWENYE MUHADHARA | SHEIKH IBRAHIM MKONGOMANI.
    KISA HIKI CHA YATIMA CHAWALIZA WATU KWENYE MUHADHARA | SHEIKH IBRAHIM MKONGOMANI.
    4 года назад
  • Пророчество Мухаммада ﷺ сбывается: Израиль vs Иран = Судный День начался!
    Пророчество Мухаммада ﷺ сбывается: Израиль vs Иран = Судный День начался!
    3 дня назад
  • Usiogope Kurudi Kwa Allah: Toba Yako Inakubalika
    Usiogope Kurudi Kwa Allah: Toba Yako Inakubalika
    3 месяца назад
  • YATIMA NI NANI/FADHILA ZA KUWAHUDUMIA YAYIMA/ QURAN YASEMAJE JUU YA MAYATIMA. SHK ABDALAH ALMUNDHIR.
    YATIMA NI NANI/FADHILA ZA KUWAHUDUMIA YAYIMA/ QURAN YASEMAJE JUU YA MAYATIMA. SHK ABDALAH ALMUNDHIR.
    4 года назад
  • HIZI NDIZO TARATIBU ZA KUCHUMBIANA KABLA YA NDOA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
    HIZI NDIZO TARATIBU ZA KUCHUMBIANA KABLA YA NDOA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
    6 лет назад
  • Sheikh Hilal Kipozeo - Afande Sele Athari za Bangi | Ni Jeuri Tu | Mpumbavu
    Sheikh Hilal Kipozeo - Afande Sele Athari za Bangi | Ni Jeuri Tu | Mpumbavu
    4 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com