Mtuhumiwa wa ubakaji wa binti yake afikishwa kizimbani

Описание к видео Mtuhumiwa wa ubakaji wa binti yake afikishwa kizimbani

Mkazi wa Iringa anayetuhumiwa kwa kumbaka na kumlawiti binti yake wa miaka 11 amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa makosa manne.
Undani wa taarifa zaidi unaletwa na Emmanuel Kalemba

Комментарии

Информация по комментариям в разработке