RAIS SAMIA KUJENGA BARABARA NNE ARUSHA IPO NA YA MWENDO KASI DC NA MKURUGENZI WAELEZA UJENZI KUANZA

Описание к видео RAIS SAMIA KUJENGA BARABARA NNE ARUSHA IPO NA YA MWENDO KASI DC NA MKURUGENZI WAELEZA UJENZI KUANZA

RAIS SAMIA KUJENGA BARABARA NNE ARUSHA IPO NA YA MWENDO KASI DC NA MKURUGENZI WAELEZA UJENZI KUANZA SIKU YOYOTE..
Ujenzi Wa Barabara ya njia nne kutokea maeneo ya Kilombelo kuelekea Kisongo kuanza wakati wowote kwanzia hivi Sasa Maradi Wa ujenzi huo unaelezwa na Mkurugenzi mtendaji Wa Jiji la Arusha eng Juma Hamsini umelenga kupunguza msongamano Wa magari katika eneo Hilo na pia mradi huo utakuwa na Mradi Wa mabasi ya mwendo Kasi ameyasema Yao mbele ya kamati ya Siasa ya wilaya ya Chama Cha Mapinduzi katika ziara maalumu ya kukagua utekelezaji Wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Jiji la Arusha ..
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке