RAIS wa YANGA Ampokea Achraf Hakimi wa PSG/ Hiki ndicho Amekuja kukifanya Tanzania

Описание к видео RAIS wa YANGA Ampokea Achraf Hakimi wa PSG/ Hiki ndicho Amekuja kukifanya Tanzania

Rais wa @yangasc Mhandisi HERSI SAID @caamil_88 amempokea Mgeni wake ACHRAF HAKIMI @achrafhakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro.

Mchezaji huyu bora kutoka katika Klabu ya PSG ya nchini Ufaransa ameambatana na rafiki zake saba atakuwa nchini kwa wiki moja huku wakitembelea vivutio mbali mbali vya utalii nchini.
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe YouTube channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Комментарии

Информация по комментариям в разработке