Ezekiel Makililo ft Emmanuel Mgogo - NENO LAKO NI KWELI (+255745458802)

Описание к видео Ezekiel Makililo ft Emmanuel Mgogo - NENO LAKO NI KWELI (+255745458802)

Ukiliamini Neno la KRISTO YESU unalimaliza tatizo,kwa sababu NENO LAKE NI KWELI hajawahi kudang'anya,Anaponya NI KWELI,Baraka zinapatikana kwake NI KWELI,Wala hatuna mashaka na Neno lake kwa sababuTUMELIDHIBITISHA.Ukilia hauwezi kuliondoa tatizo ila Ukiliamini Neno la Mungu katika KRISTO YESU unalimaliza tatizo.
Nalipenda neno hili #ACHA #KULIA
ANZA KU #AMINI

Naamini Umebarikiwa sana na wimbo huu.Naomba ubonyeze Neno SUBSCRIBE unapoangalia ili uendelee kubarikiwa na Nyimbo nitakazoweka mapema mwaka huu,SUBSCRIBE pia kwa channel ya Emmanuel Mgogo.

Kwa mawasiliano kwa ajili ya huduma na mengineyo nitafute kwa namba hizi;-
+255745458802,+255679682206
facebook;Ezekiel Makililo   / ezekielmak  
Instagram;Ezekiel Makililo https://www.instagram.com/p/CGrJsvqDB...

MUNGU AKUBARIKI

Комментарии

Информация по комментариям в разработке