DED Nyang'hwale apewa siku 14 kurekebisha miundombinu ya zahanati

Описание к видео DED Nyang'hwale apewa siku 14 kurekebisha miundombinu ya zahanati

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale, mkoani Geita amepewa wiki mbili kuhakikisha ujenzi wa miundombinu ya mifumo ya maji katika zahanati za viijiji vya Kafita na Mwamakiliga unakamilika kwa wakati.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке