Askofu BIGRIM akabidhiwa kiti Cha madhabau chenye thamani ya laki nne

Описание к видео Askofu BIGRIM akabidhiwa kiti Cha madhabau chenye thamani ya laki nne

Askofu BiGIRM akabidhiwa kiti Cha madhabau na akinamama wa Kanisa hilo lililopo zingiziwa Dar es Salaam wakati wa sherehe za kinama zilizofanyika kanisani hapo

Akitoa shukrani zake wakati akibadhiwazawadi hiyo askofu wa kanisa la Bigrim Sibard Lipala amewataka kinamama hao kuendeleza umoja na kudumisha mshikamano walio nao

Комментарии

Информация по комментариям в разработке